Ikiwa sehemu ya utamaduni wake msimu huu, viongozi na wachezaji wa Yanga leo wametembelea Hospitali ya Bugando jijini Mwanza kutoa misaada mbalimbali
Msafara huo wa Yanga uliambatana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega




ADVERTISE HERE