Wananchi ndani ya jiji la Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Mar 2022
Wananchi ndani ya jiji la Mwanza

Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Mwanza mapema leo kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa uwanja wa CCM Kirumba

Wananchi wamewasili Mwanza wakiwa na lengo moja tu, kushinda mchezo dhidi ya Geita Gold na kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Geita Gold ndio wenyeji wa mchezo huo, walilazimika kuuhamisha kutoka yaliko makazi yao Geita

Geita pia imelenga kunufaika na mapato ya mchezo huo wao wakiwa wenyeji

Mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi kuipokea timu yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
34m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’