Tutawakabili Geita Gold kwa tahadhari - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2022
Tutawakabili Geita Gold kwa tahadhari - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze amesema wanajiandaa kikamilifu kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Jumapiili katika uwanja wa CCM Kirumba

Kaze amesema watachukua tahadhari kuwakabili Geita Gold ambao kiwango chao kimeimarika hasa baada ya usajili waliofanya katika dirisha dogo

Katika mahojiano na Azam TV, Kaze amesema wanahitaji kushinda mchezo huo utakaopigwa Jumapili ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Yanga itaondoka jijini Dar es salaam kesho Ijumaa kuelekea Mwanza tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’