Yanga yazindua kadi za kidigitali Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2022
Yanga yazindua kadi za kidigitali Zanzibar

Klabu ya Yanga ilialikwa na Baraza la Wawakilishi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambapo walipata fursa ya kuzindua kadi za Wanachama wa Yanga ambazo ziko katika mfumo mpya wa kidigitali

Uzinduzi huo ulienda sambamba na utoaji wa kadi kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni wanachama wa klabu ya Yanga

Kadi ya Mwanachama wa kwanza visiwani Zanzibar ilikabidhiwa kwa Mh. HEMED SULEMAN ABDULLA - Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kadi hiyo ilikabidhiwa na Mjumbe wa kamati ya MABADILIKO ya Klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Said

Yanga ilifanya uzinduzi kama huo Februari 18 mkoani Dodoma ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Yanga ni timu ya Wananchi wote Bara na Visiwani!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’