Kikosi cha Yanga leo asubuhi kimeingia 'GYM' kuweka miili sawa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold
Mchezo huo utapigwa Jumapili March 06 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza






ADVERTISE HERE