Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Michael Sarpong amejiunga na klabu ya AS Kigali ya nchini Rwanda
Baada ya kuitumikia klabu ya Al Nahda ya Arabuni kwa miezi sita, Sarpong amerejea tena Afrika Mashariki
Anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na As Kigali kutoka kikosi cha Yanga cha msimu uliopita
Nyota wengine waliojiunga na timu hiyo ni Haruna Niyonzima na Lamine Moro
ADVERTISE HERE