Happy Birthday Diarra

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2022
Happy Birthday Diarra

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra, nyota wa Kimataifa kutoka Mali

Msimu wake wa kwanza ndani ya kikosi cha Yanga umekuwa na mafanikio mpaka sasa akiwa na 'cleansheet' saba

Diarra amekuwa nguzo muhimu ya Yanga katika eneo la ulinzi wa lango, mlinda lango mwenye uwezo wa kipekee

Diarra akiwa langoni sio golikipa tu bali huwa sehemu ya kuanzisha mashambulizi ya Yanga

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake

HAPPY BIRTHDAY DIARRA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’