Kesho Jumapili pale uwanja wa Benjamin Mkapa, Wananchi wanashuka uwanjani kuwakaribisha Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza duru ya pili ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu yao katika mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja kamili usiku

ADVERTISE HERE