Dodoma Makao Makuu ni kinara kuandikisha Wanachama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2022
Dodoma Makao Makuu ni kinara kuandikisha Wanachama

Tawi la Yanga Makao Makuu mkoani Dodoma limeendelea kuongoza kwa kuandikisha Wanachama kupitia mfumo mpya wa kidigitali

Mwamko wa kujiandikisha ni mkubwa kwa Wananchi wa Dodoma Mjini ambapo Tawi hilo limeandikisha Wanachama zaidi ya 262

Aidha Tawi la Yanga Mwanza Mjini nalo limeendele kushikilia nafasi ya pili kama ilivyokuwa wiki iliyopita kwa kuandikisha Wanachama 205

Mkoa wa Dar es salaam unashika nafasi ya tatu, kupitia Tawi la Kariakoo lililoandikisha Wanachama 193

Zoezi la kuandikisha Wanachama linaendelea nchi nzima, hakikisha umejiandikisha ili kuwa Mwanachama unayeweza kushiriki katika vikao vya kufanya maamuzi kwa maslahi ya klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’