Kwa hakika Wananchi wana jambo lao msimu huu, kwani wameonyesha ubabe wa aina yake katika michezo 15 ya duru ya kwanza
Yanga haipo kileleni mwa msimamo wa ligi kwa bahati, takwimu za Bodi ya Ligi zinadhihirisha kwa nini Wananchi wanastahili kuwa hapo walipo
Bado msimu haujamalizika, kuna michezo mingine 15 ambayo Yanga inapaswa kufanya vizuri zaidi ya walivyofanya kwenye duru ya kwanza
Kazi inaanza Jumapili kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE