Kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa keshokutwa Jumatano katika uwanja wa Manungu, Morogoro, uongozi wa klabu ya Yanga utakuwa na Mkutano na Wanahabari leo
Mkutano huo utafanyika GSM Salamander Tower, kuanzia saa sita kamili mchana

ADVERTISE HERE