Mtibwa Sugar wanaandaliwa 'dozi' nzito

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2022
Mtibwa Sugar wanaandaliwa 'dozi' nzito

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumatano, Februari 23 katika uwanja wa Mnungu, Turiani Morogoro

Mchezo huo wa kukamilisha duru ya kwanza ligi kuu, una umuhimu wa kipekee kwa Yanga ambayo iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama36 huku wakiwa hawajapoteza mchezo

Lengo la Yanga ni kuona wanashinda mchezo huo na kufunga duru ya kwanza wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nane

Mazoezi wanayofanya Yanga unaweza kudhani wanajiandaa na mchezo wa dabi ya Kariakoo!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’