Kaseke toka enzi hizo mpaka sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2022
Kaseke toka enzi hizo mpaka sasa

Deus Kaseke ndiye mchezaji aliyedumu kwa muda mrefu zaidi kwenye kikosi cha sasa cha Yanga

Ndiye mchezaji wa mwisho kushinda taji la ligi kuu akiwa na Yanga msimu wa 2016/17

Yuko na Wananchi kwa takribani miaka nane, ingawa kuna msimu mmoja aliitumikia Singida Uniited kisha akarejea tena

Ushindani wa namba kwenye kikosi cha kwanza msimu huu, umemfanya asionekane uwanjani mara kwa mara

Lakini hakuna shaka, 'Mwaisa' bado yuko imara na ataendelea kuwatumikia Wananchi kila atakapopewa nafasi

Wanasema kijiji hakikosi wazee, hawa kina Kaseke nido wazee wenyewe wa kijiji ambao wanajua vyema nini thamani ya kuwa mchezaji wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’