Spika apongeza kadi za Ki-elektroniki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2022
Spika apongeza kadi za Ki-elektroniki Yanga

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson (Mb), ameipongeza klabu ya Yanga SC, kwa kuleta mfumo mpya wa kadi za kidigitali kwa wanachama wa klabu hiyo.

Dk Tulia amesema hayo wakati alipozindua rasmi, mfumo mpya wa kadi za kidigitali za wanachama wa Yanga SC, katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika leo hoteli ya Nashera jijini Dodoma.

Amesema hiyo itakuwa chachu ya klabu hiyo kongwe nchini kujiendesha yenyewe bila kutegemea upande mwingine, hivyo kuondokana na changamoto mbalimbali za kifedha ambazo mwanzo walikuwa wakizipitia

DK Tulia alikuwa mgeni rasmi wa hafla hiyo ambayo pia iliwahusisha wabunge Wanachama wa klabu ya Yanga wakikabidhiwa kadi zao za ki-elektroniki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’