Wananchi wana mechi 11 Dar duru ya pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Feb 2022
Wananchi wana mechi 11 Dar duru ya pili

Jumatano ijayo, Februai 23 2022 Yanga inakamilisha michezo ya duru ya kwanza kwa kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Manungu, Turiani Morogoro

March 03 Yanga itarejea jijini Dar es salaam kuanza mechi za duru ya pili ambapo wataikaribisha Kagera Sugar uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya mechi nyingi za ugenini katika duru ya kwanza, duru ya pili Yanga itakuwa na ahueni kwani watacheza mechi 11 jijini Dar es salaam

Michezo ambayo itapigwa nje ya jiji la Dar es salaam katika duru ya pili ni dhidi ya Geita Gold, Biashara United, Dodoma Jiji na Mbeya City

Mchezo dhidi ya Azam Fc utapigwa uwanja wa Azam Complex, na mechi nyingine 10 zitapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Hizi hapa mechi zote zilizobaki

15. 23.02 2022 Mtibwa vs Yanga

16. 03.03.2022 Yanga vs Kagera

17. 06.03.2022 Geita Gold vs Yanga

18.16.03.2022 Yanga vs KMC

19. 06.04.2022 Azam vs Yanga

20. 30.04.2022 Yanga vs Simba

21. 04.05.2022 Ruvu Shooting vs Yanga

22. 07.05.2022 Yanga vs Namungo

23. 14.05.2022 Yanga vs Prisons

24. 22.05.2022 Yanga vs Mbeya Kwanza

25. 24.06.2022 Biashara vs Yanga

26. 01.06.2022 Dodoma Jiji vs Yanga

27. 08.06.2022 Yanga vs Coastal Union

28. 11.06.2022 Yanga vs Polisi

29. TBAΒ  Β  Β  Β  Mbeya City vs Yanga

30. 18.06.2022 Yanga vs Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’