Jana kuelekea mchezo dhidi ya Biashara United, wachezaji wa Yanga waliingia uwanjani wakiwa wote wamevalia jezi zenye jina la Sonso mgongoni
Ni katika kumuenzi mlinzi wa zamani wa timu hiyo marehemu Ali Mtoni Sonso ambaye alifariki dunia hivi karibuni
Sonso aliitumikia Yanga kwa misimu miwili ambapo ataendelea kukumbukwa kwa nidhamu yake pamoja na kujitoa kwa ajili ya timu






ADVERTISE HERE