Yanga kuivaa Ihefu FC uwanja wa Sokoine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2018
Yanga kuivaa Ihefu FC uwanja wa Sokoine
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imebadilisha baadhi ya viwanja vitakavyotumika kwa mechi za raundi wa 32 ya Kombe la Shirikisho (ASFC).

Mkurugenzi wa mashindano wa TFF, Efrem August alisema wameamua kufanya mabadiliko ya viwanja kutokana na sababu mbalimbali.

"Kulikuwa na sintofahamu kwenye michezo mitatu kuhusu viwanja, michezo hiyo ni Majimaji Rangers dhidi ya Mtibwa Sugar, Shupavu dhidi ya Azam na ule wa Ehefu na Yanga.

"Michezo hiyo imehamishiwa kwenye viwanja vingine, vile vya mwanzo havikukidhi vigezo, Majimaji Rangers itacheza na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Ilulu, wakati Shupavu itaivaa Azam kwenye Uwanja wa Jamhuri wa Morogoro, Ehefu itawakaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya," alisema August.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’