Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, wachezaji tisa wataukosa mchezo wa leo wa kombe la FA dhidi ya Biashara United kutokana na sababu mbalimbali
Wachezaji hao ni;
1. Kibwana Shomari (Majeruhi)
2. Yassin Mustafa (Majeruhi)
3. David Bryson (Majeruhi)
4. Abdallah Shaibu (Majeruhi)
5. Dickson Job (Adhabu)
6. Salum Abubakar (Majeruhi)
7. Chico Ushindi (Mgonjwa)
8. Chrispine Ngushi (Majeruhi)
9. Djuma Shabani (Adhabu)
ADVERTISE HERE