Kilinet wako uwanja wa Mkapa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Feb 2022
Kilinet wako uwanja wa Mkapa leo

Kwa wale ambao bado hawajajisajili kuwa Wanachama leo wanaweza kukamilisha zoezi hilo pale uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Biashara United ambao utapigwa kuanzia saa moja usiku

Timu ya wataalam wa Kilinet itakuwa uwanjani hapo kuanzia saa nne asubuhi kusajili Wanachama katika mfumo mpya wa kidigitali

Wakati huohuo, viongozi wa matawi yote ya Yanga ndani ya Dar es salaam wamekumbushwa kuwasilisha uwanjani hapo fomu zilikwishajazwa ili kukamilisha usajili wa wanachama mapema.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’