Klabu ya Yanga imesikitishwa na inalaani kitendo cha kufanyiwa vurugu, kupigwa na kuchaniwa jezi mashabiki wake, kilichofanywa na mashabiki wa klabu ya Simba katika mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na Asec Mimosas, Februari 13 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam

ADVERTISE HERE