Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa kombe la FA raundi ya tano dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE