Afya ya kiungo fundi Thabani Kamusoko imezidi kuimarika na kufufua matumaini kwamba huenda akaivaa Azam FC wikiendi ijayo.
Kamusoko amekuwa nje kwa zaidi ya miezi mitatu akisumbuliwa na majeruhi lakini tayari ameanza kujifua na kikosi cha Yanga, akianza kwa mazoezi mepesi.
Yanga inajifua kwenye dimba la Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam FC Jumamosi, Januari 27, 2018

ADVERTISE HERE