Mpaka kufikia Februari 11, Tawi la Dodoma Makao Makuu limeongoza kwa kuandikisha Wanachama 204 wakifuatiwa na Tawi la Yanga Mwanza Mjini lililoandikisha Wanachama 184
Wananchi wa Dar kupitia tawi la Kariakoo wamechomoza katika nafasi ya tatu likiandikisha Wanachama 175
Ikumbukwe Matawi yatakayotambulika ni yake yatakayoandikisha kuanzia Wanachama 100 na kuendelea
Viongozi wa Matawi wanapaswa kuwahamasisha Wanachama kuhakikisha wanajiandikisha katika maeneo yao
Ukiwa Mwanachama wa Yanga unakuwa sehemu ya wamiliki wa klabu na utaweza kushiriki katika vikao vya maamuzi
Wingi wa Wananchama pia unaongeza thamani ya klabu


ADVERTISE HERE