Mwili wa mchezaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa Ally Mtoni Sonso, umezikwa kwenye makaburi ya Ngugumbi, Magomeni jijini Dar es salaam
Mamia ya wadau wa soka pamoja na viongozi waandamizi wa klabu na Shirikisho wakiongozwa Rais wa TFF Wallace Karia, walishiriki mazishi ya Sonso ambaye kabla ya umauti kumkumba hapo jana alikuwa akiitumikia klabu ya Ruvu Shooting inayoshiriki ligi kuu ya NBC

Kwa hakika haikuwa dunia bali mapito, sote tutarudi mavumbini...!
ADVERTISE HERE