Dante akabidhiwa 'ndinga' yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2018
Dante akabidhiwa 'ndinga' yake
Ikiwa sehemu ya kuwapa motisha wachezaji, mabosi wa klabu ya Yanga wameamua kumnunulia gari mpya beki kisiki Andrew Vicent Chikupe.

Chikupe maarufu kama Dante amekuwa katika kiwango bora msimu huu. Takwimu zinaonyesha ndiye mchezaji aliyecheza dakika nyingi katika kikosi cha Yanga mpaka sasa.

Dante amekuwa mfano wa kuigwa, anajituma na amekuwa akiongoza kwa mfano. Ndio maana amekuwa akikabidhiwa kitambaa cha unahodha wanapokosekana dimbani Cannavaro na Yondani.

Alisajiliwa misimu miwili iliyopita akitokea Mtibwa Sugar. Msimu uliopita haukuwa mzuri sana kwake kutokana na uwepo wa beki wa Kimataifa kutoka Togo Vicent Bossou.

Yanga sasa inanufaika na uwepo wake kikosini kwani ushirikiano wake na Yondani umeimarisha safu ya ulinzi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’