Uongozi wa klabu ya Yanga umewakumbusha mashabiki kuendelea kujiandikisha katika mfumo mpya wa kidigitali ili kuwa Wanachama wapate fursa ya kushiriiki katika uchaguzi mkuu wa klabu baadae mwaka huu
Msemaji wa Yanga Haji Manara amewakumbusha Wananchi kuhakikisha Wanajiandikisha katika Matawi yao ili kuwa sehemu ya wafanya maamuzi katika uchaguzi huo wa kwanza baada ya Mabadiliko ya Katiba
Aidha Manara amesema kadi za Wanachama ambao wamejiandikisha ziko tayari, wakati wowote wataanza kukabidhi
Pia zoezl la kusajili mashabiki nalo linatarajiwa kuanza wakati wowote
ADVERTISE HERE