Baada ya kumaliza majukumu ya timu ya Taifa, Yanga Princess leo inarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu ya Wanawake wakiikaribisha Tiger Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru
Yanga Princess ilikuwa na wachezaji nane katika timu ya Taifa ya Wanawake U20 iliyokuwa katika kinyan'ganyiro cha kuwania tiketi ya kufuzu kombe la dunia
Princess wana michezo sita ya kiporo, mchezo dhidi ya Tiger Queens ni moja ya michezo hiyo
ADVERTISE HERE