Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Jumanne Februari 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE