Wazee wa klabu ya Yanga wameunga mkono tamko la klabu kutoridhishwa na mwenendo wa ligi kuu ya NBC hasa matukio ya upendeleo yanayofanywa na waamuzi
Kupitia Mkutano na Wanahabari waliofanya Makao Makuu ya klabu Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam, Wazee wamesema kuwa wamechoshwa na mwenendo wa waamuzi wa Tanzania na wanataka mpira uchezeshwe kwa haki
Wamesema kama uonevu ukiendelea dhidi ya Yanga watakwenda Mahakamani kusimamisha ligi
"Kama kuna bingwa ameandaliwa basi apewe kombe ili sisi tuendelee na mambo mengine"
ADVERTISE HERE