Miongoni mwa sababu zilizopelekea GSM kuondoa udhamini wake ligi kuu ya NBC ni pamoja na TFF kushindwa kutoa haki sawa ya ushindani miongoni mwa timu zinazoshiriki ligi
Hii ni sababu ya msingi sana ambayo imeonekana wazi kwa matukio ambayo waamuzi wamezipa matokeo timu zisizostahili huku nyingine zikinyimwa hata pale zilipostahili
Pamoja na yote, Msemaji wa Yanga Haji Manara amesisitiza kuwa wao hawatalalamika, mapambano yao yatakuwa uwanjani
Wananchi wanakuja na awamu ya pili ya mpango mkakati wa kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika kila mechi
Kila mchezo wa Yanga utakuwa vita kwelikweli, Wananchi wamejipanga kupigana vita hiyo na hakika watashinda!
ADVERTISE HERE