Kiungo Mukoko Tonombe kwa mara nyingine amewashukuru Wananchi baada ya kuhamisha makazi yake rasmi kutoka Tanzania kurejea DR Congo
Mukoko amesajiliwa na TP Mazembe, alirejea nchini kukamilisha taratibu za uhamisho wake kwenda DR Congo
"Asante mungu kwa kipindi chote nilichokuwa Tanzania ni nchi ya amani na yenye watu wenye upendo na mapenzi ya dhati mimi na mke wangu kipenzi tunawapenda sana," aliandika Mukoko katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii
Haikuwa rahisi kwa Mukoko kuondoka Yanga kutokana na vile alivyoishi vyema na Wananchi. Kwake mashabiki wa Yanga walikuwa sehemu ya familia yake
ADVERTISE HERE