Mshambuliaji wa Yanga Yohana Nkomola jana kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting aliumia na kutolewa dimbani mapema katika kipindi cha kwanza.
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema hali ya mchezaji huyo inaendelea vizuri na atarejea dimbani kesho kuendelea na mazoezi.
"Baada ya majeraha yaliyomlazimu kutolewa nje kwenye mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting, Yohana Nkomola yuko na hali nzuri kwa sasa na atakuwa sehemu ya kikosi kwenye mazoezi kesho asubuhi kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam FC," amesema Dk Bavu

ADVERTISE HERE