Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu ya nBC dhidi ya Mbeya City
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imefanya maandalizi yake katika uwanja wake ulioko ndani ya mji wa kitajiri, Avic Town, Kigamboni
Ni mchezo mwingine wenye hadhi ya fainali Yanga ikizihitaji alama zote ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 10
ADVERTISE HERE