Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema umoja na ushirikiano wa wachezaji ndio sababu ya timu hiyo kufanya vyema na sio uwezo wa mchezaji mmoja mmoja
Nabi amesema yeye ni muumini wa mpira wa timu zaidi kuliko kutegemea mchezaji mmoja
Akizungumzia mchezo dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa kesho katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Nabi amesema wamejiandaa vyema kuikabili Mbeya City iliyo katika kiwango bora
ADVERTISE HERE