Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga imetangaza majina ya wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati ya Uchaguzi
Kamati hiyo itaongozwa na Adv Malangwe Mchungahela akiteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Adv Samwel Mangesho kuwa Makamu Mwenyekiti

ADVERTISE HERE