Mapema leo viongozi waandamizi wa Yanga wakiongozwa na Kaimu Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa waliendesha semina maalum kutoka elimu kwa wachezaji na benchi la ufundi
Katika semina hiyo wachezaji walipatiwa elimu kuhusu masuala ya udhaminu, umuhimu wa chapa (brand), masuala ya ushirikiano na vyombo vya habari na kuzingatia nidhamu katika kutekeleza majukumu yao






ADVERTISE HERE