Jeshi la Polisi lanasa wauza jezi feki za Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2022
Jeshi la Polisi lanasa wauza jezi feki za Yanga

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 17 wakituhumiwa kuuza Jezi feki 1208 za Klabu ya Yanga kufuatia Oparesheni iliyofanyika kuanzia Januari 2 hadi 28 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema jezi zingine Feki 134 zilipatikana kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga na Mwanza.Β 

Aidha Murilo amesema mzigo mwingine jezi hizo Feki zilikamatwa katika Uwanja wa Amani, Zanzibar

Kampuni ya GSM ndio yenye mamlaka ya kutengeneza na kusambaza jezi halali za klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’