Yanga ikiongozwa na Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla leo wametembelea Wodi ya kina Mama na Watoto katika Hospitali ya Sekou Toure iliyopo Wilaya ya Ilemela, Mwanza kutoa misaada mbalimbali
Huu umekuwa utamaduni wa Yanga kurudisha kwa jamii na kurejesha tabasamu kwa wale wenye uhitaji






ADVERTISE HERE