Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewashukia wanaopotosha taarifa za kushitakiwa Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kufuatia makosa aliyofanya kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopigwa Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Afisa wa TFF ambaye alidhalilishwa na Barbara ndiye aliyefungua kesi Mahakamani, TFF wakisisitiza wao kama Shirikisho hawahusiki katika kesi hiyo

ADVERTISE HERE