Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Arusha kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mechi zinazofuata
Jumamosi, January 29 2022 Yanga inakabiliwa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Mbao Fc utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku





ADVERTISE HERE