Yanga imeweka kambi ya siku kadhaa mkoani Arusha kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Wakiwa Arusha, Jiji la kitalii Wananchi walipata nafasi ya kufanya utalii wa ndani
Hivi ndivyo wachezaji wa timu kubwa Wanapaswa kuishi...!









ADVERTISE HERE