Leo Simba wameacha alama nyingine mbili huko Manungu baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mtibwa Sugar
Matokeo hayo yanaifanya Yanga ikae kileleni kwa tofauti ya alama saba huku timu zote zikiwa zimeshuka dimbani mara 12
Kesho Wananchi wako uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo ambao kama Yanga itashinda itaongeza tofauti ya pointi kufikia 10

ADVERTISE HERE