Timu ya Yanga leo wakiambatana na Mkuu wa Wilaya Arusha Mjini Said Mohamed Mtanda, walitembelea kituo cha The Plaster House kinachotoa huduma za upasuaji kwa Watoto wenye ulemavu kinachoendeshwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Kati, chini ya hospitali ya Seliani Ngaramtoni
Niutamaduni wa Yanga katika kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye maisha ya jamii










ADVERTISE HERE