Bodi ya Ligi imethibitisha mabadiliko ya uwanja utakaotumika kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya NBC Na.103 kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Ushirika na sasa utapigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
Mabadiliko hayo yametokana na uwanja wa Ushirika kuwa na matumizi mwengine

ADVERTISE HERE