Mexime atatufaa Jangwani

Admin By Admin
β€’
12 Jul 2017
Mexime atatufaa Jangwani
Yanga imewasiliana na kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime kuona uwezekano wa kumchukua asaidiane na Mwalimu George Lwandamina kuinoa Yanga iliyo na shauku ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Kimataifa msimu ujao.

Kumekuwa na sintofahamu juu ya kocha msaidizi Juma Mwambusi ambaye huenda tusiendelee kuwa nae Jangwani.

Mkataba wa Mexime na Kagera Sugar unamalizika mwezi huu wa saba na mwenyewe amesema yuko tayari kutua Jangwani kusaidiana na Lwandamina kama atafikia makubaliano na uongozi wa Yanga.

Mexime ana rekodi nzuri sana tangu akiwa nahodha wa Stars enzi za Maximo. Amefundisha timu ya Mtibwa kwa misimu mitatu mfululizo na kuifanya kuwa tishio kwenye ligi.

Msimu uliopita alitua Kagera Sugar nayo akaibadilisha kabisa hadi kufanikiwa kumaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.

Huyu ndiyo sababu ya wale watani zetu kukimbilia FIFA kwenda kudai pointi za mezani licha ya kufungwa KIHALALI dimbani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’