Farid Mussa katika kiwango bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2022
Farid Mussa katika kiwango bora

Aliposajiliwa na Yanga kwa mara ya kwanza msimu uliopita, mashabiki walikuwa na matumaini makubwa kwake kuwa atakuwa miongoni mwa wachezaji ambao wangeibeba Yanga katika vita ya ubingwa msimu uliopita

Hata hivyo Farid Mussa msimu uliopita haukuwa mzuri sana kwake, lakini msimu huu mambo ni mazuri

Ukizungumzia wachezaji ambao wako katika kiwango bora kwenye kikosi cha Yanga, Farid ni mmoja wao

Katika ligi ya NBC Farid ametoa pasi mbili za mabao akiwa mchezaji ambaye anaweza kutumika kama kiungo au winga

Jana Farid alin'gara katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni Fc ambapo kwa mara ya kwanza alitumika kama mlinzi wa kushoto baada ya David Bryson kuumia

Kwa hakika huyu ndiye Farid ambaye Wananchi walihitaji kumuona katika uzi wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’