Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania
Yanga itaweka kambi ya siku chache mkoani humo kabla ya kuelekea Moshi tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa Jumapili, Januari 23 katika uwanja wa Ushirika





ADVERTISE HERE