Baada ya matokeo ya leo huko Mbeya kwa Simba kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City, Yanga ndio klabu pekee ambayo haijapoteza mchezo msimu huu
Adha Wananchi wanaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nane!
Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union uliwafanya wafikishe alama 32 wakati Simba wamesalia na alama 24 baada ya kuchezea kichapo huko Mbeya

ADVERTISE HERE