Donald Ngoma bado hajarejea kikosini akiendelea kuuguza majeraha ya goti.
Lakini jana jioni alifika uwanja wa Uhuru kushuhudia wenzake wakijifua kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu Shooting kesho.
Ngoma ameichezea Yanga michezo mitatu pekee msimu huu na kuifungia Yanga mabao mawili lakini yapo matumaini atarejea na nguvu mpya.

ADVERTISE HERE