TP Mazembe yamuaga Chicco Ushindi, anakuja Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2022
TP Mazembe yamuaga Chicco Ushindi, anakuja Tanzania

Klabu ya TP Mazembe imethibitisha kuondoka kwa aliyekuwa winga wao Chicco Ushindi  wa Kubanza anayehusishwa kujiunga na Yanga

Kupitia Mazembe TV, wababe hao wa soka DR Congo wamethibitisha kuwa Ushindi anatarajiwa kusaini mkataba mpya katika moja ya klabu huko Tanzania

Yanga inatarajiwa kutangaza usajili wa nyota huyo wakati wowote kuanzia sasa

Aidha, ujio wa Ushindi huenda ukamuhusisha kiungo Mukoko Tonombe ambaye anaweza kusajiliwa na TP Mazembe kama sehemu ya makubaliano ya uhamisho huo

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’